Sasa ipo Dar es Salaam

Vitu vya duka,
Mlangoni kwako.

Agiza Sukari, Mchele, au Vinywaji kutoka duka la jirani yako. Bei ni ile ile ya dukani. Rider atakulipia, unamrudishia mzigo ukifika.

Pakua (Android) App Store

1,200+ Wateja wamehudumiwa wiki hii.

Sinza, Dar es Salaam

Bei ya Duka

Hakuna nyongeza. Unanunua sukari kwa bei ile ile Mangi anayoipuuza dukani.

Rider Analipa

Huna cash? Usijali. Rider wetu atalipia mzigo dukani, unamlipa akifika.

Fika Haraka

Tunatumia Bodaboda wa mtaani kwako wanaojua vichochoro. Dakika 15 tu.